Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
ha haaaaaaaaaaaaaaa, umenichekesha sana Nyamayao. Ni kweli unatakiwa kupigania chako. lakini mimi kasheria nilikojiwekea ni ka kupambana na mr sio na huyo wa nje ambaye hanihusu. kama mr akinihakikishia kuwa huyo ndo zaidi basi unakuwa huna la kufanya. ila sijui huyo nje huko hatasikia hata sauti yangu, hata akinifwata nyumbani kwangu
hapo mie ndio napataka sasa, nikiwakuta huko walaahh nitapambana na kichwa maji wangu,eehh lakini huyo mwanamke anifate mpaka kwangu khaaa mbona ana moyo, nikiwa namjua na nimemkuta nje ya geti tu kasheshe anayo ndio ijekuwa anigongee ndani kwangu?.....wengine nyie mlitakiwa muwe ma sister jamani.