TANZIA Aliyewahi kuwa Mhasibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Shaban Mhando afariki dunia Hospitali ya Mloganzila

Miaka ya nyuma sana nikiwa nimeajiriwa mahali, alifika kiongozi mmoja kuja kuzindua kilichokuwa kinazinduliwa, lakini kabla ya yote ilipasa apewe abc na mkubwa wa hiyo taasisi, ile mkubwa anasimama tu kwenda kwenye podium, umeme ukakata. Waandishi wa habari nao wako aaaaaaaaaaa. Basi mkubwa wa taasisi akanigeukia na kuniambia, hebu kawashe powerbank.

Ungekuwa wewe ungenda kuwasha nini?

Anyway, kuna wakati binadamu unajikuta upo kwenye situation ambayo hujui hata unachofikiria achilia mbali kukisema, haiwezekani wataalamu wa afya wote wamepiga kimya kuhusu ishu ya kujifukiza kama tiba ya corona, halafu anatokea mwanasiasa anasema tukomae na nyungu. Ninachokiona watu wameshasugua vichwa ngoma ngumu, kilichobaki ni kutest zali tu sasa.
 
Yaani usingizi hauji, kila nikifungua uzi ni TANZIA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanakufa kwa wingi mloganzila wanazika kila siku watu kubao sijui ni kwa nini CCM wameamua kuficha taarifa hizi?
Kwani CCM inajali raia zaidi ya wao kuwa madarakani?
 
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi na pia wapate pesa nyingi toka WHO
WHO wenyewe wako hoi Trump kakata mirija kawaambia walipwe na mchina anayetoa dola mil 14,Us ilikua dola mil 400 anatoa.
Unaongea nini?
 
RIP mstaafu Mhando.
Labda Sasa vigogo watastuka kuwa gonjwa hili linatakiwa kupangiwa mkakati mpya ili kulishinda.

Ubabe wa wanasiasa kuongoza harakati za kubeza kuwa Covid-19 ni kaugonjwa sasa uachwe, sayansi ya utabibu na Sayansi ya afya ya jamii (public health) itumike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…