Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TATIZO LA KUPUMUA MKUUChanzo cha kifo?
Hujalala tu wewee bwana mdogo? Usisahau kuvaa barakoa unapolalaAisee
Ukilala kizembe covid inakubeba fasta kijana....Hujalala tu wewee bwana mdogo? Usisahau kuvaa barakoa unapolala
Nadhan mazoezi ni dawa ya mwanzo kabisa.Ukilala kizembe covid inakubeba fasta kijana....
nailinda kwa kukesha...
Salaam Wakuu,
Kwa wale mnaomfahamu Mhando, aliyekuwa mhasibu mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam (chief accountant) amefariki Dunia Hospitali ya Mloganzila.
Mhando amestaafu na kuagwa na Wafanyakazi mwezi mmoja ulioisha.
View attachment 1435073
Pichani, Shabani Mhando akisalimiana na RC Makonda siku alipowasili kuanza kazi rasmi kama Mkuu wa Mkoa wa Dar.
Mungu aweke Mahali pema Peponi roho ya Marehemu.
View attachment 1435034
Kwani CCM inajali raia zaidi ya wao kuwa madarakani?Watu wanakufa kwa wingi mloganzila wanazika kila siku watu kubao sijui ni kwa nini CCM wameamua kuficha taarifa hizi?
WHO wenyewe wako hoi Trump kakata mirija kawaambia walipwe na mchina anayetoa dola mil 14,Us ilikua dola mil 400 anatoa.CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi na pia wapate pesa nyingi toka WHO
Siyo kila kifo ni corona, au umesahahu huo wimbo?Mbona TANZIA nyingi siku hizi!? Sio janga la kujifukiza kweli?
***Mbire mwene Nyamwonyo***