TANZIA Aliyewahi kuwa Mhasibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Shaban Mhando afariki dunia Hospitali ya Mloganzila

Duh!!!Hali hii sasa ni ishara ya kuelemewa na misiba katika jamii yetu!!

Poleni wafiwa!!
Salary Slip, tupe kwanza hali yako ya ucorona- umepima. Je kwenye familia , uko, na mtaa wenu umefiwa na wangapi tupitishe mchango mkuu
 
Mungu tulinde!
Mungu jalia Koona isifike JF!
 
Asante kwa taarifa; Vip idadi ya kuzika ni ile ile?
 
Changamoto ya upumuaji.

Itatubeba sana hii kitu.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi, kila anayekufa ni kwa Corona? Kwani tukisubiri tukaambiwa chanzo cha kifo chake tutapungukiwa nini? Sio kila kifo kisababishi ni Corona jamani.
Utasubiri sana!

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Hivi, kila anayekufa ni kwa Corona? Kwani tukisubiri tukaambiwa chanzo cha kifo chake tutapungukiwa nini? Sio kila kifo kisababishi ni Corona jamani.
Mlio na mamlaka si muwatenganishe?
 
Eti "dunia iweze kulijua tatizo na kutuokoa na hili janga"... Hao waliokuambia hivyo walikuhadaa nawe umehadaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…