citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
R.I.P.Duh...!.
RIP Mhando
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P.Duh...!.
RIP Mhando
P
Salary Slip, tupe kwanza hali yako ya ucorona- umepima. Je kwenye familia , uko, na mtaa wenu umefiwa na wangapi tupitishe mchango mkuuDuh!!!Hali hii sasa ni ishara ya kuelemewa na misiba katika jamii yetu!!
Poleni wafiwa!!
Hiyo ya pili hiyo!Ni koona au changamoto ya upumuaji??
Utasubiri sana!Hivi, kila anayekufa ni kwa Corona? Kwani tukisubiri tukaambiwa chanzo cha kifo chake tutapungukiwa nini? Sio kila kifo kisababishi ni Corona jamani.
Mlio na mamlaka si muwatenganishe?Hivi, kila anayekufa ni kwa Corona? Kwani tukisubiri tukaambiwa chanzo cha kifo chake tutapungukiwa nini? Sio kila kifo kisababishi ni Corona jamani.
Eti "dunia iweze kulijua tatizo na kutuokoa na hili janga"... Hao waliokuambia hivyo walikuhadaa nawe umehadaika.Farao alifanya moyo mgumu nchi ikapigwa mapigo mengi mpaka pale wazaliwa Wa kwanza walivyokufa ndiyo akawazuhusu wana Wa Israel kwa ugonjwa huu utawapiga sana yamkini hata wapendwa wazaliwa Wa kwanza naiomba serikali ichukuwe akuba ya vita na kutoa taarifa sahihi ili dunia iweze kulijua tatizo na kutuokoa na hili janga kuliko kuficha ficha kwa hali hii hakuna uchumi tunaokoa