Msiba huu uwakumbushe walioko madarakani na kijifanya miungu kuwa yote ni ubatili mtupu kuna siku nao mauti itawakuataImethibitishwa Abass Kandoro hatunaye tena. Source inasema alikuwa ICU kwa muda mrefu sana.
Kandoro amewahi kuwa katika nafasi ya ukuu wa Mkoa katika zaidi ya Mikoa Sita Tanzania Bara ikiwemo Dar es salaam, Arusha, Singida na Mbeya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipomtembelea Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Abbas Kandoro hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.
Vifo sio kwa wenye madaraka tu.Msiba huu uwakumbushe walioko madarakani na kijifanya miungu kuwa yote ni ubatili mtupu kuna siku nao mauti itawakuata
Pamoja na mapungufu kidogo hasa kwa ajili ya uCCM lakini alikuwa anajitambua, busara kama za akina Meck sio huyu mwizi wa cheti mkurukupukaji.RIP kiongozi.
Msiba huu uwakumbushe walioko madarakani na kijifanya miungu kuwa yote ni ubatili mtupu kuna siku nao mauti itawakuata
Umezaliwa 2000 na ngapi????
siwezi kujisahau kwani natabua hilo ila walevi wa madaraka hujisahauNi maoni ya ajabu, yasiyo na utu kabisa...kifo ni kwa yeyote yule hata wewe unayeleta kejeli kwa kifo cha wenzio nawe utakufa