uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Mkuu imebidi niishie kusoma comment tu hadi hapa nilipokutana na yako na kujiuliza ni kandoro huyu aliyeivunja kariakoo gerezani mwaka 2006 vibanda vikiwa na bidhaa hadi watu wakajinyonga au ni yupi?Alikua mkuu wa mkoa katili sana alivunja vibanda vya wamachinga mji mzima, nakuzuia uuzwaji Maji ya mifuko ndipo lilipo toka jina Maji ya kandoro, hakuwa mtu mzuri tuache unafiki
Kwa kweli kusema alikuwa mwema dah Mungu aamue mwenyewe ila kuna watu walirudi kuwa maskini hadi leo pale kariakoo nilikuwepo wakati huo ni moja kati ya kumbukumbu mbaya kabisa kwa wamachinga