Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Marehemu Mzee Kandoro atakumbukwa kwa uadilifu wake uliotukuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu,samahani kwa kuchelewa kujibu mpendwa.Ooh,pole mkuu...huku kwema kabisaa,karibu tena bwana..
Aaahhh[emoji5][emoji5]hilo si la kuomba samahani mkuu,.tafadhali[emoji4]Ahsante sana mkuu,samahani kwa kuchelewa kujibu mpendwa.
Ok,ila mwenzio nilijishtukia ujue maana nilikuwa bize flani hivi.Aaahhh[emoji5][emoji5]hilo si la kuomba samahani mkuu,.tafadhali[emoji4]
Usijali,kuwa busy ndio maisha yenyewe pia.Ok,ila mwenzio nilijishtukia ujue maana nilikuwa bize flani hivi.
Pamoja sana mkuu.Usijali,kuwa busy ndio maisha yenyewe pia.
Wadi wasi wako nini mkuu, mimi mkono unenda kinywani bila tatizo.
Hayo mengine lala nayo
Kuna RC huwa anapenda kutumia neno 'Mkoa wangu'Sibishi. Yawezekana upo sahihi. Nieleweshe kidogo.
Nimekuelewa mkuu. Akikua ataacha tu. HakikaKuna RC huwa anapenda kutumia neno 'Mkoa wangu'
Huyu mzee wetu anaonekana alikuwa mtu mwema sana. Dua yangu nzuri kwake.Akapumzike kwa amani,wote ndio njia tunapita.Mbeya tutamkumbuka sana.