joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Sasa mbona ulijinasibu kwamba hamvumilii wala kuwaonea huruma mafisadi kumbe Hamna uwezo wa kuwafanya lolote?.Sisi Wakenya wa kawaida tutamkamata aje na ana bodyguard?
Mbona kule Kisumu county juzi mliwashambulia na kuwauwa mabaunsa sita, kwanini hao walinzi wake msifawavamie?.
Inamaana serikali yenu haina uwezo wa kuwakamata mafisadi?, sasa mbona tukisema Kenya ni Failed state mnalalamika kama serikali yenu inawaogopa kuwashughulikia wala rushwa kama hao?. Hivi Kenya ni nchi au genge la wahuni waliokata tamaa?