Aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya apigwa marufuku kuingia Marekani kwa madai ya rushwa

Sisi Wakenya wa kawaida tutamkamata aje na ana bodyguard?
Sasa mbona ulijinasibu kwamba hamvumilii wala kuwaonea huruma mafisadi kumbe Hamna uwezo wa kuwafanya lolote?.

Mbona kule Kisumu county juzi mliwashambulia na kuwauwa mabaunsa sita, kwanini hao walinzi wake msifawavamie?.

Inamaana serikali yenu haina uwezo wa kuwakamata mafisadi?, sasa mbona tukisema Kenya ni Failed state mnalalamika kama serikali yenu inawaogopa kuwashughulikia wala rushwa kama hao?. Hivi Kenya ni nchi au genge la wahuni waliokata tamaa?
 
Mbona huwa unalia kila siku kuwa Wajaluo wanauawa. Una uhusiano gani na Wajaluo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…