Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Watu wake bado wanatekeleza maagizo yakeDuh
RIP Magufuli
DuhWatu wake bado wanatekeleza maagizo yake
30uvccm wameanza tena mambo yao.
Kazi ya 30 hiyoHuyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .
Taarifa zaidi zinakuja
Mwalimu Nyerere alisema ukishakula nyama ya mtu huwezi kuachauvccm wameanza tena mambo yao.
As long as CCM iko madarakani hayawezi kwishaHaya majambo ya kutekana bado yapo jamani
#smhWeka taarifa kamilifu, ameokotwa poli gani? Lini?
Ameokotwa ktk hali gani? Au na yeye alijiteka kama Abdul Nondo
Haya mambo kumbe bado yapo! TUMAKINIKEHuyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .
Taarifa zaidi zinakuja
MuasisiDuh
RIP Magufuli
RIP Shujaa MagufuliHaya mambo kumbe bado yapo! TUMAKINIKE
Umemkumbuka jinsi enzi zake walivyotekwa kina Mo, Roma nkRIP Shujaa Magufuli
RIP saanaaaa Magufuli bado jamaa zako wanaendeleza yale mabaya uliyoachaDuh
RIP Magufuli