Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana NCCR Mageuzi aliyeripotiwa kupotea aokotwa Porini akiwa Mahututi

Acheni kuhamisha magoli. Kule NCCR kuna genge linamtoa Mbatia kwenye Uongozi kwa figisu na kuna moto unawaka chamani. Huyu mtu amepotea tangu alipoenda Kisutu kwenye kesi ya kumng'oa Mbatia madarakani. Hebu unganishen dots.
Halafu hivi vyama vyetu vinaua makada wake vinasingizia wasiojulikana.
CHACHA WANGWE alitaka kumtoa MBOWE uenyekiti yuko wapi? Na yule kijana wa Kichagga MALYA aliyetekeleza mauaji mkampa Cheo.
Je, Mlinzi wa Mbowe aliyenyongwa gest pale Temeke?
Tuache porojo kuna facts zikiwekwa hapa hata hao kina JPM mnaowasikizia mtawaona malaika.
RIP Mhe.Mtikila
 
Mpango wa ccm katika kuvuruga siasa za mfumo wa vyama vingi
 
Kuna watu wana roho mbaya hadi basi.. Saa ingine unawaza how why ufanye yote hayo..
Watu kwenye viroba wanaokotwa Kama kawa.
Ishi kwa mipaka kijana wangu, system haijafa, vitendea kazi ni vile vile na mienedno ni ile ile.
 
Wanaotekeleza huo uhuni ni sukuma gang kwa kushirikiana na 30 .. chadema haijawahi kuua mtu Wala kumteka mtu .. koma weye [emoji1787][emoji1787]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kutekana hayajaanza leo wala jana
Haya mambo yatakuwepo na kuendelea kuwepo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…