Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana NCCR Mageuzi aliyeripotiwa kupotea aokotwa Porini akiwa Mahututi

Nimekwambia anza kutumia dozi ya akili unarukaruka tu utadhan maharage yako jikoni. Siku ukiminywa na hao unajifanya chawa wao ndio utaelewa na muda utakua ushapita.
Hujui kitu wewe kapuku , fuatilia dereva wa Wangwe alikoishia , siyo unaleta uongo humu , Mnafiki mkubwa wee !!
 
Na huo ndo ukweli sema watu siku hizi wanapenda kujifanyisha kusahau kana kwamba matukio hayakuwepo kabisa yalianza awamu ya tano na sita! Kikwete mwenyewe Dr Ulimboka alitekwa!
Mbezi beach yenyewe huko kuna mtu katenganishwa kichwa na kiwiliwili

Dunia uwanja wa fujo

Dunia haiwezi kutulia

Ova
 
Nilisema humu, Lissu na lema wakirudi tu basi kila kitu kuharibika. Hapo bado shule nazo soon zitaanza kuungua.

Uzuri serikali inaona na itajua cha kufanya
 
Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .

Taarifa zaidi zinakuja
matatizo ya chamani nccr yaliishaga?
 
Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .

Taarifa zaidi zinakuja
Wasije wakasema alikamatwa ugoni na mke wa mtu, Pole Clinton hii ni Tanzania yetu.
 
Vijana wa chadema ni wajinga. Toka enzi za mwinyi watu wanatekwa na wanauliwa. Ukitaka nchi ambayo hakuna haya labda ukaishi Vatican

Vatikan yenyewe Papa Benedikt wamemzimia mashine.

RIP Pope Benedict XVI!
 
Kama Magufuli wakati wake hakufanya hayo matendo kwa mkono wake lakini akalaumiwa, kwanini huyu wa sasa nae asilaumiwe?
 
Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .

Taarifa zaidi zinakuja
Walisema haya matukio yamekoma March 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…