Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana NCCR Mageuzi aliyeripotiwa kupotea aokotwa Porini akiwa Mahututi

Vijana wa chadema ni wajinga. Toka enzi za mwinyi watu wanatekwa na wanauliwa. Ukitaka nchi ambayo hakuna haya labda ukaishi Vatican
Sasa subiri atekwe mamaako , halafu tukusikie ukitoa povu humu
 
Wangwe alitaka kumtoa mwenyekiti kwenye nafasi yake, TISS inaingiaje hapo!!?..mwingine alipotamani kiti akaonywa sumu haionjwi
Unadandia gari kwa mbele. Ukiona mauaji yanatokea halafu dola haifanyi lolote ujue hiyo ni kesi ya ngedere hakimu kima.
 
RIP saanaaaa Magufuli bado jamaa zako wanaendeleza yale mabaya uliyoacha
Samia kasema amemwaga chawa wake mtaani, ukiwaudhi yatakayokukuta asiulizwe
Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.

Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko porini alikotupwa .

Taarifa zaidi zinakuja

Chama kimeshikwa na 30 huyo wanasema ni chawa wa aliyeshikwa mkono na mzee wa Kiraracha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…