johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
30 mmemtuma kuiangamiza NccrUlaaniwe Jiwe huko uliko motoni johnthebaptist
Kipi cha kuwachochea au kuwashawishi watu kufanya hivyo? Watu wana hasira na Magufuli na wanachukizwa nae kuliko wanavyochukia hayo maovu yake wanayoyarudia kila siku.Kama Magufuli wakati wake hakufanya hayo matendo kwa mkono wake lakini akalaumiwa, kwanini huyu wa sasa nae asilaumiwe?
Ndo umeamua kujificha hapo!?..aliyeambiwa sumu haionjwi aliambiwa na serikali!?Unadandia gari kwa mbele. Ukiona mauaji yanatokea halafu dola haifanyi lolote ujue hiyo ni kesi ya ngedere hakimu kima.
Ulipoanzisha wewe umeishia wapi?Mnataka mkamalize kazi ?
Nimeuliza.Wewe wasema
Kwani wakati huyo mwengine anatoa maelezo wewe ulikuwepo?Hajawahi kutoa maelekezo hayo
Hivi huwa unakumbuka na wewe kuomba kwenda peponi au muda mwingi unatumia kumlaani Jiwe? Au wewe mwenzetu ni katika wale watu wema msiokufa kama Kikwete na Kinana?Ulaaniwe Jiwe huko uliko motoni johnthebaptist
NdiyoKwani wakati huyo mwengine anatoa maelezo wewe ulikuwepo?
Acheni kuhamisha magoli. Kule NCCR kuna genge linamtoa Mbatia kwenye Uongozi kwa figisu na kuna moto unawaka chamani. Huyu mtu amepotea tangu alipoenda Kisutu kwenye kesi ya kumng'oa Mbatia madarakani. Hebu unganishen dots.
Halafu hivi vyama vyetu vinaua makada wake vinasingizia wasiojulikana.
CHACHA WANGWE alitaka kumtoa MBOWE uenyekiti yuko wapi? Na yule kijana wa Kichagga MALYA aliyetekeleza mauaji mkampa Cheo.
Je, Mlinzi wa Mbowe aliyenyongwa gest pale Temeke?
Tuache porojo kuna facts zikiwekwa hapa hata hao kina JPM mnaowasikizia mtawaona malaika.
RIP Mhe.Mtikila
Huyu atekwe na Serikali kwa jambo gani? umaarufu wa kipuuziHaya majambo ya kutekana bado yapo jamani
Sie hatukumsikia Jiwe akitoa hayo maagizo hivyo hata huyu sio hadi tumsikie akitoa hayo maagizo.Ndiyo
Kwani wewe unatakajeSie hatukumsikia Jiwe akitoa hayo maagizo hivyo hata huyu sio hadi tumsikie akitoa hayo maagizo.
Tatizo nikuwa watanzania wana macho ya kumuona raisi lakini hawaii akunaga mwanasiasa msafi masikni yake magufuri mlimpaka kila aina ya uchafu na bado mnaendelea kwakua awa wana siasa wengine ni malaika naona ni mzimu wa magu bado unateka watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamjui siasa nyieAcheni kuhamisha magoli. Kule NCCR kuna genge linamtoa Mbatia kwenye Uongozi kwa figisu na kuna moto unawaka chamani. Huyu mtu amepotea tangu alipoenda Kisutu kwenye kesi ya kumng'oa Mbatia madarakani. Hebu unganishen dots.
Halafu hivi vyama vyetu vinaua makada wake vinasingizia wasiojulikana.
CHACHA WANGWE alitaka kumtoa MBOWE uenyekiti yuko wapi? Na yule kijana wa Kichagga MALYA aliyetekeleza mauaji mkampa Cheo.
Je, Mlinzi wa Mbowe aliyenyongwa gest pale Temeke?
Tuache porojo kuna facts zikiwekwa hapa hata hao kina JPM mnaowasikizia mtawaona malaika.
RIP Mhe.Mtikila
Nataka Samia nae awajibike kwenye uongozi wake kama ilivyokuwa kwa Jiwe, mauwaji yoote na kila utekaji katika awamu ya tano tuliambiwa ni Jiwe kila makosa ya serikali tuliambiwa ni Jiwe hivyo na Samia nae iwe hivyo sio kwamba kwenye mazuri ndio anasifiwa Samia ila makosa na mabaya Samia hahusiki. Sasa huyo Samia amekuwa Mungu kwamba kazi zake hazina makosa?Kwani wewe unatakaje
wabongo bana..we unawajua wale vijana walikua nanVipi wale vijana waliopotea pale Kariakoo Samia vipi hahusiki hapo? N vipi yule askofu mstaafu wa Angalikani Mwanza alipatikana amefariki na mwili wake kutubwa ziwani Samia hahusiki? Nyinyi ni kikundi cha wapuuzi tu matukio yako miaka y
Wewe ndo utuambia maana kazi zenu kushabiki ujinga wa serkali hii kwa kila jambo!wabongo bana..we unawajua wale vijana walikua nan
ndio nakuambia sasa sio kila jambo ulete ushabiki wa kisiasa..hujui wale wat ni kina nan .wako wapi na kwa sababu gani.na sio kila mtu humu ni mshabiki wa u ccm na uchadema ..huo ujinga wengine hatujabarikiwaWewe ndo utuambia maana kazi zenu kushabiki ujinga wa serkali hii kwa kila jambo!
Acheni kuhamisha magoli. Kule NCCR kuna genge linamtoa Mbatia kwenye Uongozi kwa figisu na kuna moto unawaka chamani. Huyu mtu amepotea tangu alipoenda Kisutu kwenye kesi ya kumng'oa Mbatia madarakani. Hebu unganishen dots.
Halafu hivi vyama vyetu vinaua makada wake vinasingizia wasiojulikana.
CHACHA WANGWE alitaka kumtoa MBOWE uenyekiti yuko wapi? Na yule kijana wa Kichagga MALYA aliyetekeleza mauaji mkampa Cheo.
Je, Mlinzi wa Mbowe aliyenyongwa gest pale Temeke?
Tuache porojo kuna facts zikiwekwa hapa hata hao kina JPM mnaowasikizia mtawaona malaika.
RIP Mhe.Mtikila
Haya ruksa kamuwajibishe sasa. Tatizo tunaposema kuwa tunahitaji Katiba Mpya nyie mnabeza kuwa hilo takwa la Chadema wala siyo la Watanzania,mnasema wananchi wanataka barabara,shule na hospital,sasa niambie kwa Katiba hii ambayo inampa Rais mamlaka ya umungumtu unawezaje kumuwajibisha Samia? Tukubali kwamba tunahitaji Katiba Mpya ambayo itawapa wananchi kupitia wawakilishi wao yaani Bunge mamlaka ya kuisimamia Serikali na kumuwajibisha Rais. Japo Katiba iliyopo inatamka uwezo huo wa Bunge lakini kiuhalisia muundo wa Bunge lenyewe la CCM tupu unalinyang'anya hilo Bunge uwezo huo kwani wabunge wa CCM wakikaa kama kamati wanalazimishwa kuwa upande wa Serikali muda wote wawapo Bungeni ambaye hawezi kutii agizo hilo arudishe kadi ya CCM kwa maana ya kuacha ubunge.Nataka Samia nae awajibike kwenye uongozi wake kama ilivyokuwa kwa Jiwe, mauwaji yoote na kila utekaji katika awamu ya tano tuliambiwa ni Jiwe kila makosa ya serikali tuliambiwa ni Jiwe hivyo na Samia nae iwe hivyo sio kwamba kwenye mazuri ndio anasifiwa Samia ila makosa na mabaya Samia hahusiki. Sasa huyo Samia amekuwa Mungu kwamba kazi zake hazina makosa?