PreGE2025 Aliyewahi kuwa RC Tabora, Agrey Mwanri aitaka Siha, asema Bungeni hawaendi kina Tyson

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro.

Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe.

"Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi kina Tyson, wanaenda watu wenye akili ili kuwahudumia wananchi" amesema Mwanry.

Ikumbukwe kuwa Mwanry amewahi kuwa Mbunge wa Siha kwa kipindi cha Miaka kumi kabla ya Kuangushwa na Mbunge aliyemaliza muda wake.

Aiseee hii kauli ya hijana wajiajiri ifutwe
 
View attachment 3387219
Watoto wa 2000 huyu hawamjui,mpeni kura Wana Siha awaachie uzoefu kwa kipindi hiki, encyclopedia ya bunge tena bungeni,Siha yenye ardhi rutuba,eneo safi sana pale,nimekaa miezi 15 hakika panautajiri mzuri sana maharage,migomba,ufugaji hali ya hewa mwanana
 
Mzee namkubali sana. Ningekuwa huko ningempigia kura licha ya maamuzi yangu binafsi ya kujitenga na maswala ya uchaguzi.

Mzee anakauli
 
Mwanri ni Kati ya wabunge waliokuwa smart sana kipindi Cha Bunge la Samuel Sitta. Tunamtakia Kila la heri
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro.

Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe.

"Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi kina Tyson, wanaenda watu wenye akili ili kuwahudumia wananchi" amesema Mwanry.

Ikumbukwe kuwa Mwanry amewahi kuwa Mbunge wa Siha kwa kipindi cha Miaka kumi kabla ya Kuangushwa na Mbunge aliyemaliza muda wake.
View attachment 3387219
IKIWAPENDEZA WANAOTEUA WATUREJESHEE MZEE WETU HUYU.
 
Back
Top Bottom