Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aiseee hii kauli ya hijana wajiajiri ifutweAliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro.
Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe.
"Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi kina Tyson, wanaenda watu wenye akili ili kuwahudumia wananchi" amesema Mwanry.
Ikumbukwe kuwa Mwanry amewahi kuwa Mbunge wa Siha kwa kipindi cha Miaka kumi kabla ya Kuangushwa na Mbunge aliyemaliza muda wake.
Watoto wa 2000 huyu hawamjui,mpeni kura Wana Siha awaachie uzoefu kwa kipindi hiki, encyclopedia ya bunge tena bungeni,Siha yenye ardhi rutuba,eneo safi sana pale,nimekaa miezi 15 hakika panautajiri mzuri sana maharage,migomba,ufugaji hali ya hewa mwananaAliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro.
Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe.
"Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi kina Tyson, wanaenda watu wenye akili ili kuwahudumia wananchi" amesema Mwanry.
Ikumbukwe kuwa Mwanry amewahi kuwa Mbunge wa Siha kwa kipindi cha Miaka kumi kabla ya Kuangushwa na Mbunge aliyemaliza muda wake.
View attachment 3387219
IKIWAPENDEZA WANAOTEUA WATUREJESHEE MZEE WETU HUYU.Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro.