jamani twende taratibu hii nchi kwa sasa watiaji wamekuwa wengi
Malaya wa kisiasaAliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Laurance Masha (kulia) akichukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Sengerema
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]huyu jamaa kumbe ni mweusi.
na hapo alikua villa park kama sikosei"hawa mbwa wako mbona hawajafika", Masha unaikumbuka hii kauli? Unakumbuka ulimpigia simu IGP ukimwambia hawa mbwa wako (Polisi)...Cheo ni dhamana brother!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hawa ndo walikulaga bata enzi za Chikwete"hawa mbwa wako mbona hawajafika", Masha unaikumbuka hii kauli? Unakumbuka ulimpigia simu IGP ukimwambia hawa mbwa wako (Polisi)...Cheo ni dhamana brother!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Huko kuna Tizeba na ShigongoBora angeenda gombea huko Buchosa siasa ya Sengerema mjini ngumu.
Huyu jamaa wajumbe walimtenda nini?Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Laurance Masha (kulia) akichukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Sengerema