Uchaguzi 2020 Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Laurance Masha achukua fomu kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Laurance Masha achukua fomu kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia CCM

Acha waendelee kutunisha mfuko wa chama Cha kijani..
 
Masha alikua ananata sana,aliwahi kuja Saut,kutoa neno,kabla hajasema lolote,akasema kapigiwa simu na Jakaya,akasepa zake! Sasa nikauliza kwan Jakaya hakua anajua kwamba Masha atakua Saut mda huo?? Tena ukitaka kumpa mkono,walinzi wanazuia,huyu jamaa mwacheni tu.. Tena anajiita "Lau"
 
Du nililiona mapema...upinzani wajilaumu tu wenyewe kwa kukubali kusajili wachezaji muhimu wa kikosi cha mahasimu bila kujua waliingia kusoma mchezo....
 
Nimepenyezewa za ndani kwamba lengo LA watia nia wengi kujitokeza ccm, Ni kuweka CV ili jpm awateue kwenye vyeo mbalimbali Mara baada ya kuapishwa.Hakika ajira Ni shida, sio mapenzi yao kwa umma wala chama
 
Bwana cha pombe wa misungwi anapingwa na mtoto was Dada sijui takuwaje
 
Back
Top Bottom