GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana.
Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya kuhojiwa kama ilivyo desturi.
Chanzo Taarifa: manaratv
Angeteuliwa wa nchi fulani Kwanza angeshukuru kwa Kukufuru Siku nzima kisha angeomba hata aende Ikulu ili akamlambe Miguu na Dela / Suruali yule Aliyemteua.