GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Alikua mjinga yule!hakutumia akili kabisa yule no zwa zwa!!Kuna yule mwalimu alikataa uteuzi wa u DC kapigwa zengwe hadi hana kazi yoyote saivi
Yule alikuwa fala,tena ilitakiwa wamteke wakamkill kabisa zuzu yule, we unashindana na mamlaka utaweza!!Kuna yule mwalimu alikataa uteuzi wa u DC kapigwa zengwe hadi hana kazi yoyote saivi
Alikua mjinga yule!hakutumia akili kabisa yule no zwa zwa!!
Utakataaje uteuzi wa Raise halafu wewe sio mwanasiasa na ulipo hutendi haki zaidi ya kuwanyonya walimu!
nyie pia ni wajinga na mafalaYule alikuwa fala,tena ilitakiwa wamteke wakamkill kabisa zuzu yule, we unashindana na mamlaka utaweza!!
Umewaza hadi kifo dhidi yake!Yule alikuwa fala,tena ilitakiwa wamteke wakamkill kabisa zuzu yule, we unashindana na mamlaka utaweza!!
Hakuna ueledi wowote pale Cwt Hadi ukatae teuzi ya Rais!Umewaza hadi kifo dhidi yake!
Hatari sana
Jamaa hakuwa anajielewa,sasaivi yupo wapi sasa? labda kama alivuna ukwasi wakutoshaUmewaza hadi kifo dhidi yake!
Hatari sana
Mi naona alikuwa anajielewa sio Kila unachopewa lazima upokeeJamaa hakuwa anajielewa,sasaivi yupo wapi sasa? labda kama alivuna ukwasi wakutosha
Uliona ID yangu ikiwa BAN kwa Kipindi chote ambacho GENTAMYCINE nilikuwa sichangii humu? Ujuha ni dhambi Kubwa.Duh! Hii ID ilipotea sana humu, mambo mengi yametokea lakini haikuanzisha uzi wala kukomenti, nilidhani imekula ban ya kushiba
sio kwa nia mbaya, mimi nikiwa kama msomaji wako mwandamizi nilikumisi sana. Sikuona michango yako humuUliona ID yangu ikiwa BAN kwa Kipindi chote ambacho GENTAMYCINE nilikuwa sichangii humu? Ujuha ni dhambi Kubwa.
Punguza au ukiweza acha kabisa Unafiki unaokusumbua.sio kwa nia mbaya, mimi nikiwa kama msomaji wako mwandamizi nilikumisi sana. Sikuona michango yako humu
ni kawaida yako kusigina hata ukisifiwa vipi huwa unaponda tuPunguza au ukiweza acha kabisa Unafiki unaokusumbua.
Sipendi kusifiwa na Mnafiki tukuka.ni kawaida yako kusigina hata ukisifiwa vipi huwa unaponda tu
hukuwepo jamvini kitambo, umerudi, tunakupongeza hutaki. Mara upo mara haupo, una shida gani?Sipendi kusifiwa na Mnafiki tukuka.
Acha hasira mwalimu,ulishindana na serikali ukapasukanyie pia ni wajinga na mafala