mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekwambia kuna kupumzika nani?apumzike mahali anapo stahili
Hivi lilimhusisha pia General Mboma?Alieyuwa Mbunge wa Ilala sakata la Sukari likamtoa madarakani. Dah! Lala salama Comrade
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaa R. I. P mzee SimbaAliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba amefariki dunia leo.
Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mungu amlaze mahali pema peponi
Iddi Simba ni mmoja wa mawaziri Bold wa Mkapa ambaye alikubali kukalia "Kiti Moto" kuhojiwa. Mawaziri wengine wengi walikogopa kama kituo cha polisi.
Na wakati akiongea alikuwa very confident na authoritative commanding tone.
Innalillah wainna ilaihi rajiun
P
Kwa wana ccm woote ni motoniAliyekwambia kuna kupumzika nani?
Kwa sababu alikua na kiburi cha pesa za ubadhirifu wa hali ya juu ( sitaji details)Iddi Simba ni mmoja wa mawaziri Bold wa Mkapa ambaye alikubali kukalia "Kiti Moto" kuhojiwa. Mawaziri wengine wengi walikogopa kama kituo cha polisi.
Na wakati akiongea alikuwa very confident na authoritative commanding tone.
Innalillah wainna ilaihi rajiun
P
IDD Simba alikuwa na akili nyingi sana tatizo alikuwa mwiziKwa sababu alikua na kiburi cha pesa za ubadhirifu wa hali ya juu ( sitaji details)
Anyway R.I.P panapo kustahili.
CHADEMA hamna wezi? mbona hatujamsikia papa akimtangaza mwana chadema yeyote kuwa mtakatifu?CCM hakuna msafi.
dodge