TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

Daaaa R. I. P mzee Simba

In God we Trust
 
Ndani ya CCM hakujawahi kutokea waziri bora
In God we Trust
 
ameenda kunako haki.. apumzike panapostahili...
 
Kwa sababu alikua na kiburi cha pesa za ubadhirifu wa hali ya juu ( sitaji details)

Anyway R.I.P panapo kustahili.
 
December 20, 2017
Mahojiano na Idd Simba

Historia ya Iddi Simba aliyewahi kuhudumu kama waziri ktk serikali ya Mwl. Julius Nyerere


Aliyekuwa Waziri Wa Viwanda na Biashara Mhe Idd Simba,Amefunguka Mengi Juu ya historia ya Maisha yake pamoja na jinsi gani alivyotimiza Majukumu yake wakati akiwa Serikalini.

Mbali na hivyo amefungikia Vijana na kuwahasa Kusoma sana ili waongeze Maarifa sambamba na kuacha uvivu kwa kuacha starehe na kufanya kazi kwa bidii ili kuendeleza juhudi za maendeleo kwenye Taifa.

Hata hivyo ameongelea juu ya umuhimu wa Uzalendo kwa vizazi kwa vizazi na kwa taifa kwa ujumla
Source: Global TV online


Iddi Simba na dhana ya uzawa:


://www.pressreader.com › mtan...
Mtanzania: 2016-03-16 - Tungekubali dhana ya uzawa mapema - PressReader

16 Mar 2016 · ALIYEKUWA Mbunge wa Ilala, Waziri na mwanachama maarufu wa CCM, Idd Mohamed Simba
 
Mwenyezi Mungu mwenye rehema, ampumzishe kwa amani. Poleni sana wanafamilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…