TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

Kila roho itaonja mauti.
Ila nimekumbuka yafuatayo:
1. Uganda Wakati wa Utawala wa Idd Amin
2. Mikataba ya UDA
3. N.K
 
Umeonaeeeeee?
Kweli kabisa,kama Lionchawene alirudishwa akapewa muungano na baadae mambo ya ndani,basi huwa wanaangalia mwenye afadhali ila siyo bora

In God we Trust
 
Mkuu Pascal naomba utiririke japo historia fupi ya ndugu yetu Mzee Simba naona baadhi ya comments ni ngumu kumesa
Kiafrika mtu akiishatangulia mbele ya haki, anazungumzwa kwa mema tuu, na sio mambo ya kutiririka, huyu ni public figure hivyo official history yake ni public sio ya kutiririkiwa.

Innalillah wainna ilaihi rajiun
P
 
Kiafrika mtu akiishatangulia mbele ya haki, anazungumzwa kwa mema tuu, na sio mambo ya kutiririka, huyu ni public figure hivyo official history yake ni public sio ya kutiririkiwa.

Innalillah wainna ilaihi rajiun
P
Sawa pia nakubaliana na wewe ila napata shida kidogo kwa nn baadhi wamesahau huo utaratibu katika hili.
Nami nasema Innalillahi wainna ilaihi rajiun
 
Sawa pia nakubaliana na wewe ila napata shida kidogo kwa nn baadhi wamesahau huo utaratibu katika hili.
Nami nasema Innalillahi wainna ilaihi rajiun
"Dunia sasa imani imekwisha,
Nyoyo za watu zimebadilika,
Wala hakuna uaminifu tena,
Si wanawake, si wanaume,
Si kwa wazee, hata na vijana,
Utu umekwisha umebakia unyama"
Marijani Rajabu
P
 
Naamini wapo ila tatizo ni waandishi wenye maswali ya sampuli ile na Media za kurusha vipindi vya kivile!. Media za siku hizi ni mwendo wa kusifu, sifa na mapambio.
P
We umejiweka pembeni?

Anyway tuyaache ila kati ya uliowaalika masai studio nilivutiwa na watatu. Idd simba, Bruno mpangala japo alionewa sana na wachangiaji kina Nathaniel mlaki, na mwisho ni timu ya FAT ndolanga na rage na mipira yao.

Bro... Zama hazirudi 👍
 

Yes.

Iddi Simba was a good speaker.

Always enjoyed listening to him.
 
Pole Sana, Sauda Kilumanga Simba. Mtoto wa Idd Simba na pia Huyu mdada ni kiongozi wa Freemasons Tanzania na Africa mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kikundi cha Freemason kinapatikana Dar tu au... Na nikitaka kuonana nao naanzia wapi yaani ofisi zao ziko wapi nataka kupata majibu ya maswali fulani hivi yanayowahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…