Aliyewapa TIC ruhusa ya kutumia Jina la 'Kanda ya Nyasa' kwenye shughuli za Serikali ni nani wakati hilo jina limeanzishwa na CHADEMA kisiasa?

Sasa mjomba wangu Kanda ya Nyasa ni uhuni?
Mi nkumbiaga wewe unafikiria karibu huoni mbali husikii.
 
Mtwara si iko Southern Zone? mbna wanachanganyaa Lol
 
Naming yao haiko sawa Ziwa Nyasa liko Mbeya huko sio Njombe, kuita Kanda ya Nyasa (Njombe) haileti mantiki yoyote.

Jifikirie tena kwa ulichoandika

Njombe ni HQ ya Kanda, ikijumuisha mikoa iliyopo kwenye orodha

Mfano mkoa wa Ruvuma una eneo kumbwa ambalo lina jumuisha sehemu ya ziwa nyasa

Pia mkoa wa Njombe una eneo kubwa ambalo lina jumuisha ziwa nyasa (wilaya ya Ludewa)

Mbeya Wana kaendeo kadogo katika ziwa nyasa kulinganisha na mikoa mingine ya Njombe na Ruvuma

Serikali inapaswa kutumia Majina rasmi na sio ya kihuni kihuni

Vile vile hicho kinachoitwa uhuni (Nyasa) ni moja ya wilaya inayopatikana katika mkoa wa Ruvuma
 
Naming yao haiko sawa Ziwa Nyasa liko Mbeya huko sio Njombe, kuita Kanda ya Nyasa (Njombe) haileti mantiki yoyote.
Yaani ni upuuzi usio na mantiki.
Kwamba badala ya kuunda Kanda ya Kusini yenye Mikoa ya Lindi,Mtwara na Ruvuma wao wanaunda Nyasa ya mchongo eti watu wa Mtwara waje Njombe, nonsense kabisa.
 
Hao wahuni wanatumia vigezo gani kuinumuisha Mtwara huko Nyasa? Katavi iwe Mbeya Kwa sababu zipi wakati ni zaidi ya km 600?

Nilisema hawatumii akili nakosea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…