ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya majitu ya CCM ni majinga snHuna akili! Hilo linakuathiri vipi we kilaza?
Serikali inapaswa kutumia Majina rasmi na sio ya kihuni kihuniHuna akili! Hilo linakuathiri vipi we kilaza?
Kwani hilo eneo sio sehemu ya Tanzania, kikubwa wanamaanisha nn hao TIC baasi...mengine ni porojo tu!Serikali inapaswa kutumia Majina rasmi na sio ya kihuni kihuni
Dogo mshamba huyuMtwara si iko Southern Zone? mbna wanachanganyaa Lol
Naming yao haiko sawa Ziwa Nyasa liko Mbeya huko sio Njombe, kuita Kanda ya Nyasa (Njombe) haileti mantiki yoyote.
Naming yao haiko sawa Ziwa Nyasa liko Mbeya huko sio Njombe, kuita Kanda ya Nyasa (Njombe) haileti mantiki yoyote.
Serikali inapaswa kutumia Majina rasmi na sio ya kihuni kihuni
Yaani ni upuuzi usio na mantiki.Naming yao haiko sawa Ziwa Nyasa liko Mbeya huko sio Njombe, kuita Kanda ya Nyasa (Njombe) haileti mantiki yoyote.
Hao wahuni wanatumia vigezo gani kuinumuisha Mtwara huko Nyasa? Katavi iwe Mbeya Kwa sababu zipi wakati ni zaidi ya km 600?Jifikirie tena kwa ulichoandika
Njombe ni HQ ya Kanda, ikijumuisha mikoa iliyopo kwenye orodha
Mfano mkoa wa Ruvuma una eneo kumbwa ambalo lina jumuisha sehemu ya ziwa nyasa
Pia mkoa wa Njombe una eneo kubwa ambalo lina jumuisha ziwa nyasa (wilaya ya Ludewa)
Mbeya Wana kaendeo kadogo katika ziwa nyasa kulinganisha na mikoa mingine ya Njombe na Ruvuma
Vile vile hicho kinachoitwa uhuni (Nyasa) ni moja ya wilaya inayopatikana katika mkoa wa Ruvuma
Uhuni tuu usio na msingi.Sasa mjomba wangu Kanda ya Nyasa ni uhuni?
Mi nkumbiaga wewe unafikiria karibu huoni mbali husikii.
Sasa kuna machawa wameanzisha ndonga la mama huko huo Ndio uhuzi promaxUhuni tuu usio na msingi.