Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 1,041
- 2,464
Pax aliyekuwa rafiki wa msanii wa mabeste miaka hio na baadaye kuja kugombana na mabeste Kisha akaoa aliyekuwa mke wa mabeste Lissa,, ( issues hii ili trend sana mwaka 2019/2020)
Hatimae jana kijana huyo Aoa mwanamke mwingine ambaye sio maarufu na hajulikani mitandaoni,,
Haijulikan Nini kimetokea Nini? kati yake na Lissa,
Lissa sasa ana watoto watatu 2 wa mabeste na mmja wa pax
Picha 2 za kwanza ni pax na mke mpya
Ya Tatu ni ya zamani pax na lissa
Pia soma::https://www.jamiiforums.com/threads/yuko-wapi-lissa-fickenscher.2417664/