Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 1,041
- 2,464
Hapo ni malipizi hamna furaha Wala niniKila mtu atafute kile kinachompa furaha
Nenda you tube search wimbo wa Sirudii Tena mabeste ft jux prod:by Pancho LatinoSawa
Hawa Sasa Ndiyo Watu Gani Huko Mjini Madiwani Wameoana
Hivi Jux na Mabeste walikuwa washikaji au walikuwa na ukaribu wa kwenye issue za usanii tu?Nenda you tube search wimbo wa Sirudii Tena mabeste ft jux prod:by Pancho Latino
Dah nasikitika kuwa hujanielewaHapo ni malipizi hamna furaha Wala nini
Walikuwa label mojaHivi Jux na Mabeste walikuwa washikaji au walikuwa na ukaribu wa kwenye issue za usanii tu?