Aliyewekewa figo ya nguruwe afariki baada kuishi nayo miezi miwili

Aliyewekewa figo ya nguruwe afariki baada kuishi nayo miezi miwili

Nadhani isingekuwa ana changamoto ya Kisukari na pressure angekuwa anaendelea kuishi.
 
Mungu sio mjinga,figo ya nguruwe ni kwa ajili ya nguruwe.
Massachusetts General
Hospital, which performed the surgery,
maintained that there was no indication the
transplant was the cause.

Moja ya madhara ya kukwepa umande.
 
Massachusetts General
Hospital, which performed the surgery,
maintained that there was no indication the
transplant was the cause.

Moja ya madhara ya kukwepa umande.
Ulitarajia wasemeje!
 
Figo zinafeli kwa ujinga wenu wa kunywa MACOCACOLA na kubugia masumu na haswa masumu ya chanjo na GMO

Usimsingizie Mungu.

Cc DR Mambo Jambo
Mungu muweza wa vyote, Angeweza kuumba figo isiyoweza kudhurika na Coca-cola, sumu, chanjo au GMO.

Figo kudhurika na Coca-cola, sumu, chanjo au GMO ni uthibitisho kwamba kazi ya uumbaji ya Mungu huyo ina dosari na kasoro kwa kuumba viungo vinavyoweza kudhurika.
 
Back
Top Bottom