Aliyezaa na bwana harusi aharibu harusi ya mwenzie kwa kupeleka mtoto aliyezaa na mwanaume huyo

Aliyezaa na bwana harusi aharibu harusi ya mwenzie kwa kupeleka mtoto aliyezaa na mwanaume huyo

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Kila kitu kilienda kama kilivyo kua kimepangwa mpaka pale mama moja lie zalishwa na bwana harusi alivo leta mtoto wa bwana harusi kama zawadi ya harusi kwa bibi na buana harusi.

Wanawake wengi kujilegeza kwa wanaume wa wazalishe ili wa olewe, ila wengi kugonga mwamba na kubaki kama singo maza. Wanaume wengi hawako tayari kuoa singo maza hata kama mtoto ni wakwake, acheni kupokea mimba bila ndoa.
Screenshot_20250308-092739_WhatsAppBusiness.jpg
 
Kila kitu kilienda kama kilivyo kua kimepangwa mpaka pale mama moja lie zalishwa na bwana harusi alivo leta mtoto wa bwana harusi kama zawadi ya harusi kwa bibi na buana harusi.

Wanawake wengi kujilegeza kwa wanaume wa wazalishe ili wa olewe, ila wengi kugonga mwamba na kubaki kama singo maza. Wanaume wengi hawako tayari kuoa singo maza hata kama mtoto ni wakwake, acheni kupokea mimba bila ndoa.View attachment 3263186
Hatari 😅
 
Hawa wanawake wa kuzaa nao bila kujali tabia zao mbovumbovu haya ndiyo matokeo yake.
Nina jamaa yangu ndoa yake imesambaratika kabisa.
Kuna wanawake wengi hupanda shari kuharibu ya wengine, kuna wenye midomo anaongea mpaka unapata homa, kuna wanao penda ugomvi kila wakati, hao wote ni aina ya wanawake ambao ni time bombs anapasuka kwa wakati wote.
 
Back
Top Bottom