Ni kweli umalaya na umasikini wa pesa ndo unao sumbua unakuta bint moja ana walenzi zaidi ya wawili.Afu unaweza kuta mtoto sio wa huyo bwana
Hatari 😅Kila kitu kilienda kama kilivyo kua kimepangwa mpaka pale mama moja lie zalishwa na bwana harusi alivo leta mtoto wa bwana harusi kama zawadi ya harusi kwa bibi na buana harusi.
Wanawake wengi kujilegeza kwa wanaume wa wazalishe ili wa olewe, ila wengi kugonga mwamba na kubaki kama singo maza. Wanaume wengi hawako tayari kuoa singo maza hata kama mtoto ni wakwake, acheni kupokea mimba bila ndoa.View attachment 3263186
Ndio ubwabwa umemwagiwa mchangaDuh,
Kwa hiyo ndoa iliishia hapo?!
Bibi harusi hakua na hizo taarifa za buana harusi kua na mtoto mshangao mkubwa ulizaa taharuki.Duh,
Kwa hiyo ndoa iliishia hapo?!
Mbona kama mtoto kafanana na bwana harusi? Au mimi ndo sijui kufananisha.Afu unaweza kuta mtoto sio wa huyo bwana
Kufanana sio lazima uwe udungu buana.Mbona kama mtoto kafanana na bwana harusi? Au mimi ndo sijui kufananisha.
🤣🤣🤣🙏Pilau limechacha.
Kuna wanawake wengi hupanda shari kuharibu ya wengine, kuna wenye midomo anaongea mpaka unapata homa, kuna wanao penda ugomvi kila wakati, hao wote ni aina ya wanawake ambao ni time bombs anapasuka kwa wakati wote.Hawa wanawake wa kuzaa nao bila kujali tabia zao mbovumbovu haya ndiyo matokeo yake.
Nina jamaa yangu ndoa yake imesambaratika kabisa.
🤣🤣🤣Unataka uniue?Huyo To yeye si ndio huwa ana advocate humu kuwa mwanaume ukibambikiziwa mimba umlee tu huyo mtoto sijui eti ufanye kama unatoa sadaka mara atakuja kukusaidia mbeleni?
Mmoja ya watu ambao hawatakiwi kabisa kutiliwa maanani ni pamoja na huyo.
Kweli mkuuKuna wanawake wengu hupanda shari kuharibu ya wengine, kuna wenye midomo anaongea mpaka unapata homa, kuna wanao penda ugomvi kila wati hao wote ni aina ya wanawake ambao ni timing bombs