Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kwa JPM usingejitokeza upumbavu kama huu, wananchi kwanza, wote walohusika wangekiona cha moto na mechi ingechezwa tu hata ka viongozi wangenuna.Mtamkumbuka sana Magufuli
Huna akili.....Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Kweli kabisa mkuu.Bila kuunga mkono sifa kwa mtu yeyote uliyemtaja, niruhusu niandike yafuatayo:
Haitashangaza sana ukisikia kwamba hapo Pesa ndefu" imetumika ili mechi iahirishwe kwa manufaa ya wafadhiri.
Enzi za 'ujanjaujanja' zimerudi kwa nguvu, kwa hiyo hakuna linaloshindikana tena kama pesa ndefu ipo.
we una msongo. maisha hayako hivyo. usijitaabishe sana kias hiki. hujatumwa kitu dunian! nadhan utauliza na muda wa watu kupata watoto unatoka wap!Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Jifunze sasa kuelewa nasio kusoma tu.Ili litakusaidia sana..wewe ndio mpumbavu kabisa nani alikuwambia mwezi huu sio wa furaha kwa waislamu hakuna mwezi wenye furaha kama huu matajiri wanatoa pesa kuwapa masikini na wasiojiweza pia watu wanagawa vyakula mafuta sukari mwezi huu watu wamepewa nafasi ya kuomba na kukubaliwa maombi yao mwezi huu watu wanakaribisha futari mwezi huu mwezi huu ndio wenye furaha na matumaini. ila kwa wale waliofungwa macho ya kutojua kama wewe ndio mnaona shida. laana tulahi kafir wewe
Mwendazake yupiYeye kama amiri jeshi na kiongozi wa nchi awezi kukwepa lawama, hapo ndio lazima tumkumbuke hayati angeweka sawa viongozi wa timu zote halafu ange deal walioaribu wote kuanzia wizarani hadi TFF.
Tunachukulia poa kwasababu watanzania ni watu wenye busara ingekuwa nchi nyingine kiwanjani pale pangechimbika na uharibufu mkubwa na fujo zingetokea.
Unafikiri mama angewapigia viongozi wa timu zote kurudisha timu uwanjani wangegomea?
Wewe si ukalime uje uwauzie Chakula upate pesa?......Wanaangalia Mpira lakini kula kuko pale pale.Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Jinsi unavyohukumu ndivyo utakavyohukumiwa.Bora huyo mama kuliko yule dhalimu aliyeko motoni.
Niko tayari kwa hilo.Jinsi unavyohukumu ndivyo utakavyohukumiwa.
Maisha yenyewe mafupi acha watu wajipe raha. Mtu amesafiri kwa ndege kwenda na kurudi toka Mbeya unadhani anabangaiza maisha?Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Hamna banaaaaa fanyeni kaziwe una msongo. maisha hayako hivyo. usijitaabishe sana kias hiki. hujatumwa kitu dunian! nadhan utauliza na muda wa watu kupata watoto unatoka wap!