Aliyezuia mechi ya Simba na Yanga kuchezwa awajibike mwenyewe!

Aliyezuia mechi ya Simba na Yanga kuchezwa awajibike mwenyewe!

Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.

Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Huna akili.....
 
Bila kuunga mkono sifa kwa mtu yeyote uliyemtaja, niruhusu niandike yafuatayo:

Haitashangaza sana ukisikia kwamba hapo Pesa ndefu" imetumika ili mechi iahirishwe kwa manufaa ya wafadhiri.
Enzi za 'ujanjaujanja' zimerudi kwa nguvu, kwa hiyo hakuna linaloshindikana tena kama pesa ndefu ipo.
Kweli kabisa mkuu.
 
waziri.PNG
 
Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.

Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
we una msongo. maisha hayako hivyo. usijitaabishe sana kias hiki. hujatumwa kitu dunian! nadhan utauliza na muda wa watu kupata watoto unatoka wap!
 
wewe ndio mpumbavu kabisa nani alikuwambia mwezi huu sio wa furaha kwa waislamu hakuna mwezi wenye furaha kama huu matajiri wanatoa pesa kuwapa masikini na wasiojiweza pia watu wanagawa vyakula mafuta sukari mwezi huu watu wamepewa nafasi ya kuomba na kukubaliwa maombi yao mwezi huu watu wanakaribisha futari mwezi huu mwezi huu ndio wenye furaha na matumaini. ila kwa wale waliofungwa macho ya kutojua kama wewe ndio mnaona shida. laana tulahi kafir wewe
Jifunze sasa kuelewa nasio kusoma tu.Ili litakusaidia sana..
Apa kuna msiba ila watu apa msibani waleta vinywaji,wanakula nyama,mziki unapigwa nk
Vipi nao wapo wanafuraia huyu mtu kufariki Dunia?
 
Yeye kama amiri jeshi na kiongozi wa nchi awezi kukwepa lawama, hapo ndio lazima tumkumbuke hayati angeweka sawa viongozi wa timu zote halafu ange deal walioaribu wote kuanzia wizarani hadi TFF.

Tunachukulia poa kwasababu watanzania ni watu wenye busara ingekuwa nchi nyingine kiwanjani pale pangechimbika na uharibufu mkubwa na fujo zingetokea.

Unafikiri mama angewapigia viongozi wa timu zote kurudisha timu uwanjani wangegomea?
Mwendazake yupi

Yule watu waliokuwa wanapotea na hasemi chochote?

Au yule wasiojulikana wakitesa na kuuwa na alikua asemi kitu?

Au mwendazake yupi
 
Rejea 2007/2008 kama sikosei Lowasa alipojiuzulu. Hapa ishu ilikuwa ni mgeni rasmi kutoka hukooo!!
 
Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.

Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Wewe si ukalime uje uwauzie Chakula upate pesa?......Wanaangalia Mpira lakini kula kuko pale pale.
 
Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.

Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Maisha yenyewe mafupi acha watu wajipe raha. Mtu amesafiri kwa ndege kwenda na kurudi toka Mbeya unadhani anabangaiza maisha?
 
Kweli mkuu, kuna mijitu mijinga sana Tz, yaani Rais aache kujishughulisha na akina Biden, Putin, Kiwete, Jinping, Gas, Umeme, Bandari aanze kudeal na akina Manara na Mwakalebela, wengine wameanza kusema bora angekuwepo Jiwe (Kisa Simba na Yanga)! Kuna watu hata hawajui wanataka nini maishani, CCM endeleeni kuwaburuza mbululaz hao
 
Back
Top Bottom