Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Basis wangekuja kuindulia uwanjani kama ni hivyoALIYEZUIA?
Haijazuiwa mechi ila ilisogezwa mbele kukiwa na sababu zao wanasiasa, moja ni uzinduzi wa kitabu, hapo nani apigwe mawe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basis wangekuja kuindulia uwanjani kama ni hivyoALIYEZUIA?
Haijazuiwa mechi ila ilisogezwa mbele kukiwa na sababu zao wanasiasa, moja ni uzinduzi wa kitabu, hapo nani apigwe mawe?
Jiwe keshajifiaYeye kama amiri jeshi na kiongozi wa nchi awezi kukwepa lawama, hapo ndio lazima tumkumbuke hayati angeweka sawa viongozi wa timu zote halafu ange deal walioaribu wote kuanzia wizarani hadi TFF.
Tunachukulia poa kwasababu watanzania ni watu wenye busara ingekuwa nchi nyingine kiwanjani pale pangechimbika na uharibufu mkubwa na fujo zingetokea.
Unafikiri mama angewapigia viongozi wa timu zote kurudisha timu uwanjani wangegomea?
Unarikiwe sanaHaya mambo peleka fb pumbavu kabisa
Yeye ndiye rais wa JMT hata kama hutaki inabidi ukubali tu moyoniNaona mnapepesa macho tu, mmempa wenyewe kichwa.
Anawazoom tu mamlka yote anayo mtamfanya nn
Mbona alisema atakuwa kiongozi wa malaika sasa Motoni ameendaje tens?Bora huyo mama kuliko yule dhalimu aliyeko motoni.
Una mawazo na akili za kikuda sana wewe.Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Unapenda penda starehe tu na anasa badala ya kufanya kaziOna hii kima
Team MarehemuSSH is failure kuanzia juu hadi chini ...
Kakosa nini Rais wetu hata awajibike kama Rais?Yeye kama amiri jeshi na kiongozi wa nchi awezi kukwepa lawama, hapo ndio lazima tumkumbuke hayati angeweka sawa viongozi wa timu zote halafu ange deal walioaribu wote kuanzia wizarani hadi TFF.
Tunachukulia poa kwasababu watanzania ni watu wenye busara ingekuwa nchi nyingine kiwanjani pale pangechimbika na uharibufu mkubwa na fujo zingetokea.
Unafikiri mama angewapigia viongozi wa timu zote kurudisha timu uwanjani wangegomea?
Kwa wale watu waliotapeliwa pale uwanjani halafu wangeamua pachimbike unafikiri uharibifu kiasi gani ungefanyika?
Kumbuka kua dini ya Kiislam muda huu si muda wa furaha ...Sasa wewe Abdul ufunge gori alafu Mohammed ashangilie ilo gori wakati ni mwezi mtukufu wa Ramadhani
Bora huyo mama kuliko yule dhalimu aliyeko motoni.
Kuna mahali nmesoma uzi flan umeuanzisha wewe, ulikuwa na hoja nzuri tu na nikadhan wewe ni mtu kweli.Kwani Wachezaji wenyewe wanasemaje
Mkuu pole kwa msibamotoni utaingia wewe na familia yako
Rais anayeshindwa kuwa control hata Simba na Yanga ataweza nini?Team Marehemu
Bila kuunga mkono sifa kwa mtu yeyote uliyemtaja, niruhusu niandike yafuatayo:Yeye kama amiri jeshi na kiongozi wa nchi awezi kukwepa lawama, hapo ndio lazima tumkumbuke hayati angeweka sawa viongozi wa timu zote halafu ange deal walioaribu wote kuanzia wizarani hadi TFF.
Tunachukulia poa kwasababu watanzania ni watu wenye busara ingekuwa nchi nyingine kiwanjani pale pangechimbika na uharibufu mkubwa na fujo zingetokea.
Unafikiri mama angewapigia viongozi wa timu zote kurudisha timu uwanjani wangegomea?
Nahofia sana nchi yetu hii.Ingevumilika kama wangeelezea angalau sababu. Hii ni dharau tupu ya watu 70,000+ 16,000,000 waliokuwa watege sikio na macho.
Yaelekea mheshimiwa mmoja aliyeko kwenye book launch hakutaka kukosa mechi akatoa 'instructions from above' a la banana republic!