Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.
Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.