Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ngojeni tu basi na msubiri ufafanuzi' toka kwa Msemaji wa Serikali.... kazi iendelee.[emoji38][emoji38][emoji38] Mimi simo .
Maji ya kuoshea maiti (by composition) yanatofauti gani na maji yanayotokea bafuni?. .......tatizo ni "maiti" si ndiyo?Mm nadhani maji ya kuoshea maiti ndiyo yanaleta afya kwa samaki
Kitu ni hicho hicho ila maji ya kuoshea maiti ni mazuri hasa kwenye mazao mana yana rutuba asili.Maji ya kuoshea maiti (by composition) yanatofauti gani na maji yanayotokea bafuni?. .......tatizo ni "maiti" si ndiyo?
Kweli waTanzania Bado tumelala! Badala ya kuomba kupata uhakiki wa jambo Hilo au kufuatilia Kwa undani wanakohifadhia hao samaki! Mnamkamata na kuitwa mchochezi! Je wakija wakafa watu Nani alaumiwe??Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.
Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
Sirikali ipi sasa hiyo si.ilishamwita mchochezi!?!!Ngojeni tu basi na msubiri ufafanuzi' toka kwa Msemaji wa Serikali.... kazi iendelee.
Hawa ndo unategemea kuwa washauri Wakuu wa Rais halafu chenga tu.Hii nchi, kiongozi mkubwa anaweza kutoa kauli ya kuchafua hali ya hewa na akakaa kimyaaaa anajikausha kama sio yeye..... Hata kujisafisha kimasihara hakunaga.
Waziri mkuu, Makamu wa Rais
Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.
Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
Mtoa mada anafurahisha baraza tu, unaweza mkamata VP wewe?Kweli waTanzania Bado tumelala! Badala ya kuomba kupata uhakiki wa jambo Hilo au kufuatilia Kwa undani wanakohifadhia hao samaki! Mnamkamata na kuitwa mchochezi! Je wakija wakafa watu Nani alaumiwe??
Kwa hiyo SERIKALI imshughulikie Makamu wa Raisi SI ndie alisema akiwa mwanza!!??Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.
Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
Mi sijui nani alisemaKwa hiyo SERIKALI imshughulikie Makamu wa Raisi SI ndie alisema akiwa mwanza!!??