Tatizo wanasiasa wengi walikua maskini kama flani kabla ya kuingia kwenye siasa.
Wanaingia kwa kujifanya wanatetea wanyonge ila wengi wanaenda nufaisha matumbo yao.
Huko bungeni kama kuna mwenye uchungu na wananchi wake basi labda 10 ila wengi wao ni kujinufaisha wao na familia zao.
Vitu vyetu Vingi sana vinapotea kwa ajili ya manufaa yao bnafsi,,wajue tu Uongozi ni dhamana..