Aliyoandika Niki wa pili

Aliyoandika Niki wa pili

enka mbe

Senior Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
165
Reaction score
113
be7f81bea4459cbb0120d97ccd16df9c.jpg
 
Tatizo wanasiasa wengi walikua maskini kama flani kabla ya kuingia kwenye siasa.

Wanaingia kwa kujifanya wanatetea wanyonge ila wengi wanaenda nufaisha matumbo yao.

Huko bungeni kama kuna mwenye uchungu na wananchi wake basi labda 10 ila wengi wao ni kujinufaisha wao na familia zao.

Vitu vyetu Vingi sana vinapotea kwa ajili ya manufaa yao bnafsi,,wajue tu Uongozi ni dhamana..
 
nimeipenda mistari miwili ya mwisho
MWANAUME MASHINE
 
Huyu msanii huwa anakosea sana kuandika maneno ya kiswahili. Ukiangalia alichokiandika hapo kuna makosa ambayo hata mwanangu wa miezi 11 hawezi kuandika.

Fuatilia maandishi yake yote mtaona.
 
Back
Top Bottom