BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Mafanikio haya kwa Walimu ni ndani ya Mwaka Mmoja tu wa Rais Samia na Kazi Inaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ht sijaumiza kichwa naomba kuuliza ktk inchi yenye wilaya 169, sisi ni wa kupiga pambio kwa pikipiki 74....yani wastani wa pikipiki 1 kwa wilaya 2...Mafanikio haya kwa Walimu ni ndani ya Mwaka Mmoja tu wa Rais Samia na Kazi Inaendelea
View attachment 2174779
Noma sana!Kabla ht sijaumiza kichwa naomba kuuliza ktk inchi yenye wilaya 169, sisi ni wa kupiga pambio kwa pikipiki 74....yani wastani wa pikipiki 2 kwa kila wilaya...
Kile kitu Mzungu alikifanyia kichwa ya mtu mweusi during slave trade and the aftermath ni Mungu tu ndo anajua...Completely pathetic
sawaMafanikio haya kwa Walimu ni ndani ya Mwaka Mmoja tu wa Rais Samia na Kazi Inaendelea
View attachment 2174779
Ukisikia ''SUBJECTIVE PROBABILITY" ndio hiiMafanikio haya kwa Walimu ni ndani ya Mwaka Mmoja tu wa Rais Samia na Kazi Inaendelea
View attachment 2174779
Mkuu unapata faida gani kupotosha!!? Kumbuka mfano mzuri ni huu ambao Mimi Niko kwenye kada hiyo,walimu walioajiriwa mwaka 2014 walikuwa 35,000 na walioajiriwa mwaka 2015 walikuwa 32,000 Hawa wote walikuwa hawajapanda madaraja Hadi kufikia mwaka 2021 ,Hali hii Ni kinyume na taratibu na sheria za utumishi wa umma ambapi inatakiwa mtumishi kupanda daraja kila baada ya miaka 3.Ukweli hajapandisha vyeo walimu 126000 ni walimu 40000 tu ndo alipandisha mwaka jana. Muache uongo...
Mkuu walimu wapo kila kijiji usichokijua weweKwani Tanzania yoote wanaishi walimu tu?