holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Mwaka 2022, alitokea binti mrembo machoni pangu, mrefu, black beauty, mnene kiasi mpole, mstaarabu na mwenye adabu sana
Basi bwana kikaingiza mikorogo na gia zangu ili badae awe wife material badae manake niliona upole, ustaarabu na utulivu wake ndio ulinivutia kuwa huenda akawa wife material wa maisha
Binti mwanzo alizingua kidogo badae akakubali, basi mapenzi yameendelea na ahadi kedekede, mala ooh! Mume wangu, wewe ni wamaisha yangu, stakusaliti, mara siku ukiniacha nitajinyonga walah na mambo kadha wa kadhaa
.
Tuendelee.
Basi bhana,tumeendelea ktk penzi zito na huyo binti takribani 2yrs, ilifikia hatua nikamtambulisha kwa wazazi wangu,nae nikanitambulisha kwa wazazi wake,
Taratibu za ndoa zikapangwa,na ilikuwa imebaki miezi michache tufunge ndoa.
Usilolijua ni kama usiku wa giza,binti kumbe ni mcharuko na malaya hatari,nimekuja kugundua hilo baada ya kukaa na simu yake kwa 3days,yaani si rafki yangu,wala shemej zake wote anatembea nao wote. Suala la kuoa nimestop na stapenda tena.