Aliyonifanyia huyu dada, naapa sitapenda tena zaidi ya kutamani na kuzagamua

Ndio ukome, hadi mmekaa 2 yrs kumbe hukujua tabia yake, it seems hujui kuchunguza vema mtu unayetaka kuishi nae, safii ndio utajifunza sasa kuwa makini zaidi
sawa mkuu!
 
upuuzi tu
 
KIongozi unaroho ndogo sana mambo madogo kama hayo yanakuumiza akili hivyo hata wew sio muaminifu hujawahi kumcheat
 
Tafuta wazeee watakupa mifano halisia ya maisha saw kiongoz
 
Hizi nyuzi za kupambana na Ndoa Takatifu naona ni Project ya LGBTQI au ni kawaida tu?

Trump kachomoa betri tuwe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…