Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani wadhani hajui... hao makada walicholipwa ilisemwa "mwanaume akikupa kitu jua utakilipa kwa namna yoyote.." nukuu isiyo rasmi toka kwa mmoja wa viongozi wao.Hawa ni makada waliotumwa na Sabaya
Nyodo zote kwisha mnatiatia huruma sahivi. Si mlijipanga au ndo mikwara mbuziMfalme Magufuli, ni muhimu ufahamu kuwa unakwenda kutawala mioyo inayovuja damu.
Hivi kura zetu za Facebook wasap na insta tunatangaziwa lini vile?Ukimaliza sherehe ujue ndo kazi imeanza...
Hao vibaraka wa mabeberu wangeumiza hadi vitukuu wa vitukuu wetuWengi hawaelewi kuwa hili shimo litawaumiza mpaka wajukuu zetu.
Walisema huu uchaguzi ni wa pekee ambapo kwa mara ya kwanza wapinzani wanachukua dola. Sasa hivi wanaomba huruma ya mabeberuNyodo zote kwisha mnatiatia huruma sahv ......si mlijipanga au ndo mikwara mbuzi
Ukijinusa kile kidole ulichochovywa utapata majibu mkuu ndugu yanguHivi kura zetu za Facebook wasap na insta tunatangaziwa lini vile?
Anza kwanza Kubadili Jinsia yako kutoka Ke kuwa MeBadilisha neno "mkipata" kuwa "mkipewa" utakuwa umejitendea haki.
Hizo Ngonjera Kamuimbie Mamluki Na Bwana zakeSaying is that much easy, endelea na kuongea unachotaka, next time you are a victim! Huwezi kumpiga risasi mtu halafu ukaachwa no way, time will come somebody will pay even if NOT you! Mjiliwaze!!!!!! Nyerere aliungama kuwa aliua watu wawili tu. Tunajua Mwamwindi, huyo wa pili hatujui. Lakini huyu anajidai katili
Hizi ni muhimu sana kwa ushindi wetu wana chakademaUkijinusa kile kidole ulichochovywa utapata majibu mkuu ndugu yangu
Lazima uelewe ili kampeni ziendelee kuna ground tasks Mnyika alikuwa ana fanya, si kumsaidia Lissu tu Bali hata matatizo ya wagombea Ubuntu na udiwani.Sky, Nauliza wakati wa campaigne na Lissu alipikuwa anazunguka nchi nzima, alikuwa wapi Katibu Mkuu wenu MNYIKA, Alikuwa wapi Mbowe, mbona majabali yote ya chadema hawakuonekana kumsaidia mgombea...
Tuliza kishimoshinde kuna bolt na nati vyajaHizi ni muhimu sana kwa ushindi wetu wana chakadema
Maisha hayawezi kuendelea kama kawaida labda kama wewe ni miongoni au ni familia ya waliokuwa "Selected"Usiwe na wasiwasi; maisha yataendelea kama kawaida; asiyekubali kushindwa siyo mshindani. Mimi nlianza na kadi ya TANU Youth League mwaka 1973, halafu baadaye nikapata kati ya CCM mwaka 1978, na baadaye nikapata kadi NCCR-Mageuzi mwaka 1995 baadaye nikapata kadi ya CHADEMA 2009. Kadi zote hizo bado ninazo na wala siyo mfuasi wa chama chochote tena na maisha yanaendelea tu.
Anza kwanza Kubadili Jinsia yako kutoka Ke kuwa Me
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuonea huruma,![emoji1488]