Uchaguzi 2020 Aliyoyatamka kwenye kampeni yote yametimia, kwanini asiapishwe?

When expectations go sour...hahaaaa.
Jikaze tu mamii.
Jaribuni tena 2025.
 
Mi bado naamini siku yaja CCM haitakuwepo,natamani niione hiyo siku
 
Nyodo zote kwisha mnatiatia huruma sahv ......si mlijipanga au ndo mikwara mbuzi
Walisema huu uchaguzi ni wa pekee ambapo kwa mara ya kwanza wapinzani wanachukua dola. Sasa hivi wanaomba huruma ya mabeberu
 
Sky, wacha kulia , nyie chadema maisha yenu hamkua chama cha upinzani, bali mlikuwa chama cha MASLAHI.

Safari hii mulimpata mtu Jasiri lakini hakuwa na support ya machinery ya chama, ilikuwa a ONE MAN SHOW campaign.

Lissu angekuwa ACT leo tungeona mambo mengi, yanayo fanyika, Chadema kimejaa Traitors na watu wanaokitumia kama ATM yenye account yao.

Kama safari hii mumeshindwa hivi, you will never cime up again, dawa pekee ni Lissu kuhamia ACT, wakaanza kukijenga chama pamoja.

Sky ziko wapi jazba zenu, ziko wapi vile vitishio kuwa mumejitayarisha kwa kila mbinu na hila, wako wapi wale walinzi wenu, Lissu amejaribu sana kuweka mikakati mizuri, lakini chama hakikuwa na utelekezaji.
 
Sky, Nauliza wakati wa campaigne na Lissu alipikuwa anazunguka nchi nzima, alikuwa wapi Katibu Mkuu wenu MNYIKA, Alikuwa wapi Mbowe, mbona majabali yote ya chadema hawakuonekana kumsaidia mgombea.

Ok mkisema walikuwa majimboni wakigombea, Mnyika Alikuwa anagombea, jee wale viongizi wa juu waliostaafu kama akina Professor SAFARI walikuwa wapi au wamefukuzwa chama kisiri.

Kwanini kila uchaguzi kuna mvutano wa kijinga chadema
 
Hizo Ngonjera Kamuimbie Mamluki Na Bwana zake
 
Sky, Nauliza wakati wa campaigne na Lissu alipikuwa anazunguka nchi nzima, alikuwa wapi Katibu Mkuu wenu MNYIKA, Alikuwa wapi Mbowe, mbona majabali yote ya chadema hawakuonekana kumsaidia mgombea...
Lazima uelewe ili kampeni ziendelee kuna ground tasks Mnyika alikuwa ana fanya, si kumsaidia Lissu tu Bali hata matatizo ya wagombea Ubuntu na udiwani.

Tofauti na Majaliwa aliyepita bila kupingwa, Mbowe alikua mgombea, asingeweza kuliacha jimbo lake.
 
Maisha hayawezi kuendelea kama kawaida labda kama wewe ni miongoni au ni familia ya waliokuwa "Selected"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…