Uchaguzi 2020 Aliyoyatamka kwenye kampeni yote yametimia, kwanini asiapishwe?

Ilikuwa zuga tu kwamba msipo

Alikuwa anazuga tu aliposema nileteeni ccm alikuwa anamaanisha msipotaka kuniletea nitawawezesha mwenyewe

cc Sky Eclat
Yeye ni Mfalme wa Tanzania, huwezi kumtoa kwa sanduku la kura na yote anayoyataka yeye hufanyika ipasavyo.
 
Hahahaha tunatafuta connection, mmetuchelewesha sana na pingapinga yenu
 
Hahahahah Mbowe alisema anajiandaa kuwa Prime Minister[emoji3][emoji3][emoji3]. Wapinzani wa nchi hii; kura hawapigi lakin vilio vingi.
Sisi wana CCM kura tumepiga za kutosha[emoji172][emoji172][emoji172]

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kura tumepiga ila naona mliroga zile karatasi sio bure, vile vikao vya wakurugenzi wote tz na magufuli walikuwa wanajadili ninj haswa, nyingine kauli ya mama samia kuwa hata tukiwachagua wengine ila lazima wao washinde ni ushahidi tosha kuwa mmehujumu uchaguzi na kuujambia pia
 
Relax mkuu mi jana nimewacharukia maccm humu ndani mpaka wakaogopa saizi hasira zimeisha tayari
 

Tunafanyia kazi mawazo yako. Asante
 
Kwa hiyo jamaa sasa hivi una miaka 65,miaka yote umesubiri japo kupata mabadiliko lakini panatoka patupu.

But usihofu wajukuu na vitukuu vyako ipo siku watayapata.
 
Kwa hiyo jamaa sasa hivi una miaka 65,miaka yote umesubiri japo kupata mabadiliko lakini panatoka patupu.

But usihofu wajukuu na vitukuu vyako ipo siku watayapata.
Sasa umechangia nini hapo; unatishwa na umri wangu? Ni kweli mimi siyo mtoto wa jana, ndiyo maana ninachangia kwa busara ambazo wato hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…