Aliyozungumza Jaji Warioba, ametumia Lugha kama Ile aliyokuwa anatumia H. Polepole..Kifuatacho!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,389
Reaction score
25,291
Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!

Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!

Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui hii move itaishaje maana watu huko wameshachanganyikiwa na kupanick!

Wasiojulika wanaojulikana wapo bar saa hii!!
 
Kuna mambo mengi watamfanyia uzuri yoote sio mageni kwake hata wao wakitoka yatawarudia yoote watayomfanyia leo Jaji Warioba.......Mungu akutunze Mzee Wàrioba .....usiyumbe hata huyo ndugu yako alie ramba asali uje umkane hadharanii heshima kigida irudi kwako na Prof S....huyo tapeliii hafaiii
 
Lugha aliyotumia Mzee, MH. Warioba ni lugha aliyotumia Balozi na Mchungaji Mama na timu yake warudi tena kwa mganga walie mtumia d9 hali inapoelekea mambo yanarudi palepale kwa mfumo ambao hawatajua wazibe vipi ? na wapi ? panapo vuja.

Itafikia very strong people watamsema na kosa atakalo fanya atataka kumzima mmoja wapo hapo ndio utakua mwisho wake lastly mambo yakiwa mazito na akavuka mpaka by 2030 borntown na yeye hawatakua na power nchi hii itakua nzito tuombe Mungu ndugu zangu.
 
Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!

Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!

Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui hii move itaishaje maana watu huko wameshachanganyikiwa na kupanick!

Wasiojulika wanaojulikana wapo bar saa hii!!
Kaongea nini
 
UNUNUO STOP 🚏 OVER.
 
Leo kama tunaogopa sana ukweli ..mbona Kenya wenzetu wana uhuru wa kusema..Kenyatta akiwa Rais ,Ruto Naibu Rais walisemana sana barabarani lakini maisha yalikwenda
 
Wapumbavu akakina Troll JF
Wamesha Anza kusema akamatwe
Ccm na chawa wake🚯🚯🚯
1766440212718.jpg
 
Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!

Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!

Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui hii move itaishaje maana watu huko wameshachanganyikiwa na kupanick!

Wasiojulika wanaojulikana wapo bar saa hii!!
Asante sana Jaji Warioba..
 
Back
Top Bottom