Kuna mambo mengi watamfanyia uzuri yoote sio mageni kwake hata wao wakitoka yatawarudia yoote watayomfanyia leo Jaji Warioba.......Mungu akutunze Mzee WΓ rioba .....usiyumbe hata huyo ndugu yako alie ramba asali uje umkane hadharanii heshima kigida irudi kwako na Prof S....huyo tapeliii hafaiiiHuyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!
Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!
Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui hii move itaishaje maana watu huko wameshachanganyikiwa na kupanick!
Wasiojulika wanaojulikana wapo bar saa hii!!
Kaongea niniHuyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!
Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!
Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui hii move itaishaje maana watu huko wameshachanganyikiwa na kupanick!
Wasiojulika wanaojulikana wapo bar saa hii!!
UNUNUO STOP π OVER.Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!
Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!
Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui hii move itaishaje maana watu huko wameshachanganyikiwa na kupanick!
Wasiojulika wanaojulikana wapo bar saa hii!!
Hey guyzzzzz....Thread 'Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini this Old man must be arrested' Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini this Old man must be arrested
Haya ngoja tuisubirie "thread" by guyz!Thread 'Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini this Old man must be arrested' Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini this Old man must be arrested
Hawaamin macho yao, walidhani kupiga naye picha itabadil msimamo wakeWapumbavu akakina Troll JF
Wamesha Anza kusema akamatwe
hii itakuwa ni kabla ya mazungumzo..ile nyingine mzee Warioba kaweka mikono nyuma itakuwa ni baada ya mazungumzo na kumchana samuya live.....hapakuwa na mkono wa kwaheri π π
Asante sana Jaji Warioba..Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!