Actual bullshit, hawakuoigwa ban tanzania baada ya kureport maandamano?Aljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo
Aliekua mkurugenzi wa bbc TIM DAVIE pamoja na msaidizi wake walijiuzulu baada ya kashfa nzito ya kusambaza taarifa za uongo, kujiuzulu huzu kunaambatana na faini ya $1B ambayo trump ametaka kulipwa kwa kumchafua
Bbc na pacha wake cnn wanashtumiwa kila mara kwa kueneza taarifa za uongo na kukuza habari zaidi ya kilichotokea
Kwa upande wa 2, aljazeera ndo anaebaki kwa taarifa za uhakika na uhalisia, wanajua sana kuwajibika mara nyingi sna tumewaona waandishi wao wakiwa front kwenye vita wakiripoti uhalisia, hali hii ni tafauti sana na bbc pamoja na cnn wanaopenda kuripoti taarifa ikiwezekana hata wakaongezea na AI
Kwa kweli akili ,busara na hekima mmekosa,nyinyi bado evolution ya kuwa binadamu kamili bado haijatimia bado mpo kwenye hatua ya evolution kuelekea binadamu kamili,Sijui mlifikaje lakini ninachojua kwa kuwa ni wajinga kuwatoa kwenye hicho kiti ni rahisi sana ni kuwachokoza mlipuke tuwavunje vichwa vyenu,haki ipatikaneAljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo
Aliekua mkurugenzi wa bbc TIM DAVIE pamoja na msaidizi wake walijiuzulu baada ya kashfa nzito ya kusambaza taarifa za uongo, kujiuzulu huzu kunaambatana na faini ya $1B ambayo trump ametaka kulipwa kwa kumchafua
Bbc na pacha wake cnn wanashtumiwa kila mara kwa kueneza taarifa za uongo na kukuza habari zaidi ya kilichotokea
Kwa upande wa 2, aljazeera ndo anaebaki kwa taarifa za uhakika na uhalisia, wanajua sana kuwajibika mara nyingi sna tumewaona waandishi wao wakiwa front kwenye vita wakiripoti uhalisia, hali hii ni tafauti sana na bbc pamoja na cnn wanaopenda kuripoti taarifa ikiwezekana hata wakaongezea na AI
Sasa una akili halafu hauna ela, hio akili ya nn sasaKwa kweli akili ,busara na hekima mmekosa,nyinyi bado evolution ya kuwa binadamu kamili bado haijatimia bado mpo kwenye hatua ya evolution kuelekea binadamu kamili,Sijui mlifikaje lakini ninachojua kwa kuwa ni wajinga kuwatoa kwenye hicho kiti ni rahisi sana ni kuwachokoza mlipuke tuwavunje vichwa vyenu,haki ipatikane
Wewe na mwigulu eti ndio think tank,shenzi kabisa
So walivyopigwa bann hapa bongo kwa kutangaza vurugu za uchaguzi shida ilikuwa wao au habari waliyotangaza?Wana afadhali zaidi ya hao pigi
Heri niwe sina hela kuliko kukosa akili maana unaonekana kituko tu,ona sasa mnavyoaibika na ona mlivyodhalilika hampendwi kila kona ya nchi, hii yote imesababishwa na kukosa akili ,maana mngekuwa na akili msingefanya miscalculation ,maana mtu mwenye akili timamu husukuma kete zake kwa ustadi,unaenda kuuwa raia elfu 23 plus,kwahiyo unataka ukatawale mbuzi,kwa lugha ya kawaida wewe na mnyama sokwe mnapishana nini???Sasa una akili halafu hauna ela, hio akili ya nn sasa
Yes kama ambavyo Samia nae anavyowindwaNetenyau si anatakiwa ICC ama hujui
Huezi kua na akili alafu ukashimdwa kupata ela, the fact kwamba huna ela.means huna akili, kila.utakachojitahidi kuongea baada ya hapa ni ujinga kwa sababu huna akiliHeri niwe sina hela kuliko kukosa akili maana unaonekana kituko tu,ona sasa mnavyoaibika na ona mlivyodhalilika hampendwi kila kona ya nchi, hii yote imesababishwa na kukosa akili ,maana mngekuwa na akili msingefanya miscalculation ,maana mtu mwenye akili timamu husukuma kete zake kwa ustadi,unaenda kuuwa raia elfu 23 plus,kwahiyo unataka ukatawale mbuzi,kwa lugha ya kawaida wewe na mnyama sokwe mnapishana nini???
Thibitisha kama kondo hakuna makaburi ya halaiki kama walivyoripoti.Wana afadhali, huezi kuwaskia wanatoa makisio eti kuna makaburi ya kondo
Actual bullshit, hawakuoigwa ban tanzania baada ya kureport maandamano?
Mnaona jinsi akili zenu zilivyo za kijuha,unapola rasilimali za watanganyika alafu unajiona unaakili,wewe na gaidi unapishana nini??,Huezi kua na akili alafu ukashimdwa kupata ela, the fact kwamba huna ela.means huna akili, kila.utakachojitahidi kuongea baada ya hapa ni ujinga kwa sababu huna akili
Vipi kuhusu TBC yetu ndugu Stakehigh?Aljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo