Aljazeera ndo chombo pekee kinaripoti taarifa kwa ufasaha

Aljazeera ndo chombo pekee kinaripoti taarifa kwa ufasaha

Sasa una akili halafu hauna ela, hio akili ya nn sasa
Ona huyu maku, akili haihusiani na kuwa na hela...wako watu wengi walikuwa wanafanya vzr darasani lakini kwenye maisha halisi mambo yanawaendea kombo and vice versa....si unaona hata huyo samuya form 4 alipata D moja tuu tena ya kiswahili (tafsiri yake hana akili) masomo mengine alikula mswaki....leo ndiye anakuweka mjn!!.
 
Aljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo

Aliekua mkurugenzi wa bbc TIM DAVIE pamoja na msaidizi wake walijiuzulu baada ya kashfa nzito ya kusambaza taarifa za uongo, kujiuzulu huzu kunaambatana na faini ya $1B ambayo trump ametaka kulipwa kwa kumchafua

Bbc na pacha wake cnn wanashtumiwa kila mara kwa kueneza taarifa za uongo na kukuza habari zaidi ya kilichotokea

Kwa upande wa 2, aljazeera ndo anaebaki kwa taarifa za uhakika na uhalisia, wanajua sana kuwajibika mara nyingi sna tumewaona waandishi wao wakiwa front kwenye vita wakiripoti uhalisia, hali hii ni tafauti sana na bbc pamoja na cnn wanaopenda kuripoti taarifa ikiwezekana hata wakaongezea na AI
Kama wanarusha kwa usahihi kwanini Serikali yako imezifungia channels zake hapo Tanzania kwenye ving'amuzi vya ndani na pia website yake nayo wameizuia?

Ni bora ungekaa kimya ufiche ujinga wako.
 
Back
Top Bottom