NICOLAX
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 250
- 138
samahani wadau, naingilia katikati ya maada kuongea kitu kilicho nje ya maadaAm curious kujua kwa nini umefikiria hivyo?
kuna huyu jamaa anaitwa Dreson4, ni mmoja kati ya wadau ambao michango yao hapa jukwaani huwa inanikuna kisogo balaa
huwa namfatilia kimya-kimya sana
kwa muda mrefu sijatembelea hapa jukwaani
siku nilipotembelea uzi mmoja hivi ambao nilishawahi kuutembelea kabla, uliokuwa unasema ""KINADHARIA INAWEZEKANA WATU WOTE KUWA MATAJIRI ??""((if i'm not mistaken))
jamaa nilim-TAG ((nilitumia ID yangu ya ETCETERA)), na ninahisi jamaa alitoa mchango wake kwa huo uzi
aliongelea kuhusu Research iliyofanywa na WORLD BANK kuwa 95% ya watu wote duniani, tunaishi ndani ya 10% ya ardhi yote iliyopo.
pia alisema kuwa tunaweza kumwaga SOLAR PANELS jangwa la Sahara ambazo zinaweza kutupatia umeme Africa nzima kwa muda wa 20years mpaka kubadilisha PANELS
aliongea mengi tu na mengine kadharika
mara ya kwanza kuucheki huo uzi, nahisi huyo dreson4 ndiye aliye-post hiyo kitu, lakini mara ya pili huyu mtu anaitwa NullPointer nikaona kama ndiyo muhusika vile
nika-search-search na post kazaa za nyuma za Dreson4 kwenye nyuzi mbalimbali sikuziona, basi nikahisi huyu NullPointer ndiyo dreson4
ndiyo maana nimeuliza
. made mby city.
Last edited by a moderator: