All about Teleportation

Am curious kujua kwa nini umefikiria hivyo?
samahani wadau, naingilia katikati ya maada kuongea kitu kilicho nje ya maada


kuna huyu jamaa anaitwa Dreson4, ni mmoja kati ya wadau ambao michango yao hapa jukwaani huwa inanikuna kisogo balaa
huwa namfatilia kimya-kimya sana

kwa muda mrefu sijatembelea hapa jukwaani
siku nilipotembelea uzi mmoja hivi ambao nilishawahi kuutembelea kabla, uliokuwa unasema ""KINADHARIA INAWEZEKANA WATU WOTE KUWA MATAJIRI ??""((if i'm not mistaken))
jamaa nilim-TAG ((nilitumia ID yangu ya ETCETERA)), na ninahisi jamaa alitoa mchango wake kwa huo uzi
aliongelea kuhusu Research iliyofanywa na WORLD BANK kuwa 95% ya watu wote duniani, tunaishi ndani ya 10% ya ardhi yote iliyopo.

pia alisema kuwa tunaweza kumwaga SOLAR PANELS jangwa la Sahara ambazo zinaweza kutupatia umeme Africa nzima kwa muda wa 20years mpaka kubadilisha PANELS
aliongea mengi tu na mengine kadharika
mara ya kwanza kuucheki huo uzi, nahisi huyo dreson4 ndiye aliye-post hiyo kitu, lakini mara ya pili huyu mtu anaitwa NullPointer nikaona kama ndiyo muhusika vile
nika-search-search na post kazaa za nyuma za Dreson4 kwenye nyuzi mbalimbali sikuziona, basi nikahisi huyu NullPointer ndiyo dreson4
ndiyo maana nimeuliza

. made mby city.
 
Last edited by a moderator:
NICOLAX Basi mkuu uko sahihi, nilidhani umenisoma navoandika ukashtuka, kidogo nibadilishe style yangu ya kuandika kabisa.
Nilibadilisha ID baada ya kua na specie mwingine tunayefanana naye ID..
 
Last edited by a moderator:
NICOLAX Basi mkuu uko sahihi, nilidhani umenisoma navoandika ukashtuka, kidogo nibadilishe style yangu ya kuandika kabisa.
Nilibadilisha ID baada ya kua na specie mwingine tunayefanana naye ID..
nakubali sana nondo zako mkuu NullPointer
keep acknowledging us

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Hebu kwanza ni kwa sababu sijaelewa au si mjuzi wa haya mateleportation? mbona kama ni issue impossible practically?hivi hii na mtu mmoja kuwa sehemu mbili tofauti zina mahusiano?
 
Hebu kwanza ni kwa sababu sijaelewa au si mjuzi wa haya mateleportation? mbona kama ni issue impossible practically?hivi hii na mtu mmoja kuwa sehemu mbili tofauti zina mahusiano?

ok hapana mkuu.. naona hiyo unayosema ni time traveling.. mtu unakuwa marambili au zaidi according to time..
 
ndugu wanasayansi wetu kimsingi mimi sio mwanasayansi kama nyie ila kupitia hoja hizi nimejifunga mengi niyoyajua.

on my point
ikiwa mtu halisi atatolewa DNA na RNA zake na kutengenezwa mtu wa mfamo wake kwa njia ya mahabara, nifikirivyo mimi mtu halisi ataishi na mtu nakala ataishi wa nguvu ya mtambo na sio kwa damu, nyama na moyo. maisha ya mtu huo yatakuwa nategemea kuendeshwa na kuongozwa .
 
Samahani sana sir.. Swali nimeshindwakulielewa kidogo naomba liwekea fresh..huwenda ukapata answer
 
ok hapana mkuu.. naona hiyo unayosema ni time traveling.. mtu unakuwa marambili au zaidi according to time..

Speaking of Time Travelling, if one travels to the future and come back to present, can he use the experience to save the future? Kama vile changing fates na kadhalika?
 
This thing called teleportation is what known as pseudoscience. I watched a movie a year ago called "fringe" if you interested to learn more about "fringe science" you find a movie and watch.
 

Karibu hapa
[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo
[/h]Ukifika scrol down mpaka hapa Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object,
Then hapa. Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.
na ngfuvu zinazotumika ni hizi Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.
Karibu.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…